tangazo
Haya ni maoni ya CHADEMA yaliyo tolewa mbele ya tume ya mabadiliko ya katiba,kuwa umri wa kugombea kiti cha Urais uwe miaka 18.......
Jambo hilo wamelijadili kwa kina ndani ya gazeti hili..... watanzania wenzetu tuna mtazamo gani juu ya hili ....?