Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » K24 TV YA KENYA YAANZISHA KIPINDI CHA KUFUNDISHA STYLE ZA KUFANYA NGONO ( MAPENZI )

K24 TV YA KENYA YAANZISHA KIPINDI CHA KUFUNDISHA STYLE ZA KUFANYA NGONO ( MAPENZI )

tangazo

K24 TV ya nchini Kenya ambayo ilianzisha kipindi kinachoitwa Connect ;Mombasa Raha position kwa lengo la kuzunguzia maswala ya mahusiano ya kimapenzi kama vile uchumba, ndoa namengine mengi kama zinavyofanya radio nyingi za hapa bongo mida ya saa nne hadi sita usiku.



sasa K24 TV wamevuka mstari na kuanza kufundisha mitindo mbalimbali ya kufanya mapenzi na jinsi ya kufanya kwa usahihi zaidi kupitia kipindi hicho. 

Katika kipindi hicho kinachoendeshwa na msichana ama unaweza kumuita mwanamke anaeelezea aina ya style, anapewa kampani na mwanadada mwingine ambae anaact kama mwanaume ili kutoa maelekezo kwa vitendo.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema katika hii dunia itafikia hatua ngono pia itawekwa kwenye orodha ya basic needs siku za usoni, lakini kwa sasa hivi ipo kati ya mahitaji muhimu sana kwa baadhi ya watu ukishakuwa na basic needs yaani mavazi malazi na chakula.


 
Tazama kipindi hicho hapa
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger