tangazo
Guinness World Records kutoka central India imethibitisha kuwa Jyoti
Amge mwenye urefu wa inchi 24.7 aliyesherehekea hivi juzi siku yake ya
kuzaliwa akitimiza miaka 18, kuwa ndiye mwanamke mfupi kuliko wanawake
wengine duniani


