Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » ASKARI ATIWA MBARONI BAADA YA KUYACHEZEA MAKALIO YA MFANYAKAZI WA NDEGE YA FASTJET

ASKARI ATIWA MBARONI BAADA YA KUYACHEZEA MAKALIO YA MFANYAKAZI WA NDEGE YA FASTJET

tangazo

Picha si ya Tukio Hilo.
Askari mmoja alievalia nguo za kiraia amewekwa ndani kituo cha polisi airport kwa kutuhumiwa kumshilka makalio mfanyakazi wa ndege wa fast jet.

Tukio hilo limetokea juzi saa nne...
Wakati askari huyo aliekuwa akienda mkoani akiwa bwii alipofika kwenye sehemu ya usalama aanze kuvua viatu na mengineyo gafla akaona binti amevaa kimini na huku nyuma kijungu kikipumua kwa kweli alishindwa kuhimili ndipo akamfuata na kumshika makalio ....
Baada  ya  tukio hilo, Askari wenzake  walimchukua   kumtuliza "sero" huku binti akienda kufungua kesi....

Source:Jamii Forums Via Udaku

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger