tangazo
Msanii
kutoka Kenya, Jaguar amekanusha kumsaidia mwanasiasa nchini Kenyakatika
kampeni za uchaguzi mkuu. Jaguar ambae amekuwa named as one of
theKenyan artists anaepata mkwanja mwingi through his music ukizungumzia
track zake kama Kigeugeu na ya sasa Matapeli alisadikika kumsaidia
mmoja wa wanasiasa katika uchaguzi mkuu huu ulioisha juzi...
Jaguar
ambae pia amekuwa kwenye beef ya chini chini na mwanamuziki mwingine
kutoka nchini humo, Prezzo pia aliripotiwa kujitoa kushiriki katika
chama cha CORD ikifahamika kuwa ni sababu ya Prezzo ambabe ni kiongozi
katika chama hicho.