Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » "NIMESHINDWA KUMUDU USUMBUFU WANAWAKE....HIVYO NIMEAMUA NIOE.... PHD

"NIMESHINDWA KUMUDU USUMBUFU WANAWAKE....HIVYO NIMEAMUA NIOE.... PHD

tangazo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambae pia ni mcheza filamu hodari hapa Bongo, Hemedy PHD jana aliandika kupitia mtandao mmoja wa kijamii na kusema BORA KUOA...

Ni nini kilichomkuta PHD?? Well PHD aliandika hayo kutokana na usumbufu mkubwa anaoonekana kuupata kutoka kwa watu katika simu yake ya mkononi...


Hemedy (@hemedyPHD) ambae alilalamika kuwa amechoka na kuwa-block simu/watu hawa lakini pia kufikia kuona bora aoe alitweet " Nimeshindwa kuhandle pressure ya wasumbufu ktk simu yangu! Maisha ya kublock simu pia nimechoka! BORA KUOA! sijui itasaidia?? NABADILISHA NUMBER"


Hemedy aliandika haya huku ikonekana wanaomsumbua zaidi ni wasichana/wanawake ambapo amefikiria ni bora aoe ili kupunguza au kuondoa usumbufu huu...


Pamoja na mawazo haya, pia PHD (Star wa single GOING CRAZY) amejiuliza kama hili litasaidia kuondokana na usumbufu huu anaoupata sasa...


Hemedy amekuwa akiongelea mara kwa mara kuhusu yeye kupendwa na wasichana ambayo may be ni muonekano au kazi zake za kisanii anazofanya...


PHD pia aliwahi kusema kuwa siku akiamua kuoa inabidi aandae shindano la kutafuta mke bora (kama ilivyo katika kusaka vipaji) ambae ataishi nae milele ili kumpata yule anaefaa...

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger