Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » UPDATE: LWAKATARE AACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA

UPDATE: LWAKATARE AACHIWA HURU NA KUKAMATWA TENA

tangazo

Wilfred Muganyizi Lwakatare, akionesha alama ya vidole viwili wakati akipelekwa kizimbani juzi Jumatatu.

Mkuu wa Kitengo cha Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Muganyizi Lwakatare, muda huu ameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mashitaka yote yaliyokuwa yanamkabili kufutwa na muda huohuo kukamatwa tene na kufunguliwa mashitaka mengine.

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger