tangazo
Kinachooneka ni kwamba baadhi ya Ma IT wa nchi yetu ni wazembe na kwamba wapo kushibisha matumbo yao...!!!
Siku za hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa matukio ya aibu ya kuingiliwa kwa mitandao mikubwa ya kiserikali....
Cha kushangaza ni kwamba, viongozi wamefumba macho....Kazi yao kuu ni kushughulika na kundi ama watu wanaowapinga.....Hii ni aibu
WEBSITE: http://www.mit.go.tz/