LWAKATARE ASHINDWA KUINGIA URAIANI LEO.....HAKIMU YUPO LIKIZO KWA WIKI MBILI
tangazo
Hakimu
anayesikiliza Kesi ya Lwakatare (CHADEMA) katika mahakama ya Kisutu Mh.
Katemana yupo likizo kwa wiki mbili na hivyo Mahakama imeshindwa kutoa
dhamana kwa Lwakatare na kuipiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 Mei.
Hata hivyo, Mawakili wa Lwakatare wanafanya juu chini ili waweze kupata dhamana yake japo juhudi zinaonekana kugonga mwamba.....
Credit: JF
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK