tangazo
Mwanamume mmoja mjini mombasa amefariki kwa kile kinachodaiwa
kusababishwa na mgogoro wa kinyumbani kati yake na mkewe.
Inadaiwa marehemu alimwagiwa maji moto na mkewe siku chache zilizopita hali ambayo imepelekea kifo chake.
Ilibidi polisi kuingilia kati kumnusuru mama huyo dhidi ya hasira za umati uliotaka kumshambulia na kumuua..
VIDEO
TUPE MAONI YAKO