Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » DENTI WA KIKE APEWA KICHAPO CHA MBWA MWITU BAADA YA WAZAZI WAKE KUMNASA AKIWA GEST HOUSE NA MPENZI WAKE

DENTI WA KIKE APEWA KICHAPO CHA MBWA MWITU BAADA YA WAZAZI WAKE KUMNASA AKIWA GEST HOUSE NA MPENZI WAKE

tangazo
Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam.

Hata hivyo mfumaniwa mwenzake  ( mwanaume ) hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia.

Wazazi wenye  uchungu na hasira wakiwa na binti yao mara baada ya fumanizi.
Wazazi wakimpiga binti yao kwa uchungu na hasira mara baada ya fumanizi.
(Picha zote na maelezo yameletwa na Dei Misana- Wavuti.com)
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger