Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuaga mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia na anatarajiwa kuzikwa leo mkoani morogoro.
Utaratibu
huu umeandaliwa katika uwanja wa jamuhuri mkoani morogoro kwa lengo la
kuwapa fursa wakazi wa mji huo kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla
ya maziko
Umati mkubwa
wa wakazi wa morogoro waliojitokeza katika zozi za kuwaga mwili wa
msanii huyo mchana huu kabla ya maziko yake leo.
Marehemu albert mangwea alifariki wiki iliyopita nchini afrika kusini na maziko yake yatafanyika leo mkoani hapa.
Marehemu albert mangwea alifariki wiki iliyopita nchini afrika kusini na maziko yake yatafanyika leo mkoani hapa.
tangazo