Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » "SIKUHUDHURIA MAZISHI YA NGWEA KWA SABABU BABA YANGU ALIKUWA NI MGONJWA"... 20 PERCENT

"SIKUHUDHURIA MAZISHI YA NGWEA KWA SABABU BABA YANGU ALIKUWA NI MGONJWA"... 20 PERCENT

tangazo
Mwanamuziki aliyewahi kuvunja rekodi ya mwaka 2010 kwa kunyakua tuzo tano kwa mfululizo Abasi Kizasa" 20 pacent" ameibuka na kutoa sababu za msingi za kushindwa kwenda kushiriki kwenye mazishi ya mwanamuziki mwenzake Arbeth Mangwair kutokana na kuuguliwa sana babaake mzazi ambae ana kansa ya utumbo.
Akiongea na Xdjayaz , 20 pacent alisema kuwa  baba  yake  alikuwa  ni  mgonjwa  kiasi  cha  yeye kushindwa  kutoka


" Siku wakati watu wanaondoka kwenda Morogoro kuzika huku mimi babaangu alikuwa hali mbaya sana na alikuwa amelazwa Hospitalini hiyvo isingekuwa rahisi kumuacha akiwa kwenye hali ile na mimi ndo nilikuwa msimamizi wa kila kitu" Alisema mwanamuziki huyo.

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger