Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , , » VANESSA MDEE WA CHOICE FM ALIVAA GAZETI LA BAABKUBWA BAADA YA KUMWANIKA AKIWA NA OMMY DIMPOZ

VANESSA MDEE WA CHOICE FM ALIVAA GAZETI LA BAABKUBWA BAADA YA KUMWANIKA AKIWA NA OMMY DIMPOZ

tangazo
Mtangazaji wa Choice Fm, mwanamuziki, balozi wa vijana Tanzania, ameonyesha kukasirishwa na kitendo cha Gazeti la Babukubwa kuweka picha tofauti na walizokubaliana kwenye ukurasa wa mbele ambao ndio ukurasa wa mauzo wa gazeti (front page)
Akizungumza na XXL vanessa amesema, picha iliyowekwa katika ukurasa wa mbele, sio picha iliyotakiwa kuwepo hapo, walipiga picha nyingi sana wakati wa session ya photo shoot, na kukubaliana picha zinazofaa kutoka lakini matokeo yake wametoa tofauti na makubaliano.

"Tulikuwa tumeshachagua picha za front page na zile zitakazotokea ndani, za front page zilikuwa na version mbili na hakuna hata moja waliyoitoa, hata ukiangalia the headline, Ommy dimpoz ampata Vanessa, ukisoma tu unaelewa nini? ingawa story ni tofauti ndani lakini wangapi wanaliona gazeti na wananua kusoma kilichoandikwa ndani? aliuliza Vanessa. 
"It is so disrespectful, wanaharibu reputation, because my brand doesn't stand for that, wanaweza kukukosesha opportunities in the future."
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger