Home »
habari za kitaifa
» VIDEO: MELI YA MIZIGO YA MV. ARAFAT YATEKETEA KWA MOTO KATIKA BANDARI YA TANGA
VIDEO: MELI YA MIZIGO YA MV. ARAFAT YATEKETEA KWA MOTO KATIKA BANDARI YA TANGA
tangazo
Meli ya mizigo ”Mv Arafat” inayofanya safari zake kupeleka shehena ya
mizigo katika nchi jirani ya Kenya , Zanzibar na Mtwara Imeteketea kwa
moto katika bandari ya Tanga kwa kile kinachodaiwa kuwa hitilafu ya
umeme.
TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.