Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » IRENE UWOYA ALIA NA ULIMBUKENI WA PENZI LA MSANII DIAMOND.....

IRENE UWOYA ALIA NA ULIMBUKENI WA PENZI LA MSANII DIAMOND.....

tangazo
 Kufuatia kuripotiwa kwa habari   iliyopewa kichwa "DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!" , mwanadada  Irene Uwoya  ameamua  kuvunja  ukimya  na  kueleza  dukuduku lake la moyoni....

Habari  hiyo  ililipotiwa  jana  na  magazeti ya udaku  ikisimulia  jinsi  Diamond  na  Uwoya  walivyonasana  na  hatimaye  kuvunja  amri  ya  sita....

Katika  habari  hiyo, msemaji  ni  Diamond  na  wapambe wake  ambao  wanasimulia  jinsi  walivyomnasa  Uwoya  na  kumfanya  akubali  kuvua  nguo....

Baada  ya  habari  hiyo  kutoka, Uwoya  alishindwa  kuyaamini  macho  yake  na  hii  ndo  kauli  yake  aliyoitoa:


“Kuna saa najiuliza kwanin ukimwamini mtu ndio anageuka...kwanin ukiwa muwazi  watu wanakuchukulia vbaya? 

"Leo( jana)  nimeumia sanaaa kuliko sikuzote...sijaamini mtu niliye mwamini kumuona kama rafiki yangu anaweza kuongea shit kuhusu mim...

"Au najiuliza siruhusiwi kuwa na rafik wa kiume? Lakin sa nyingine nakaa chin nasema God ...u know me better”...Uwoya



TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger