Home »
habari za kitaifa
» JANUARY MAKAMBA AWATAKA WANANCHI WAWALAU WABUNGE WAO KUHUSU KODI YA 1000 KWA KILA LAINI.....ADAI WIZARA YAKE ILIPINGA VIKALI
JANUARY MAKAMBA AWATAKA WANANCHI WAWALAU WABUNGE WAO KUHUSU KODI YA 1000 KWA KILA LAINI.....ADAI WIZARA YAKE ILIPINGA VIKALI
tangazo
Haya ni majibu ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January
Makamba akijibu maswali katika mtandao wa Twitter kuhusu kodi mpya ya
TZS 1000 kwa mwezi kwa kila line ya simu.
- Amesema kwamba Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia iliipinga kodi hiyo.
- Amesema kwamba Hazina (Wizara ya Fedha) walikubaliana na maoni ya
Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kuhusu kodi hiyo.
- Amesema kwamba Bunge ndilo lililopitisha kodi hiyo na si Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

-
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK