Home »
habari za kitaifa
» MFANYABIASHARA AWAGONGA NA GARI WATU 6.....KISA NI WIVU WA MAPENZI
MFANYABIASHARA AWAGONGA NA GARI WATU 6.....KISA NI WIVU WA MAPENZI
tangazo
Watu sita wamejeruhiwa vibaya ikiwemo kuvunjika baadhi ya sehemu
mbalimbali za mwili huku mmoja wao akiwa amelazwa katika chumba cha
wagonjwa mahututi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada
mfanyabiashara kuwagonga kwa gari huko Bahari beach.
TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.