Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » PAJA LA WEMA SEPETU LAFANANISHWA NA NGOZI YA "KITI MOTO"

PAJA LA WEMA SEPETU LAFANANISHWA NA NGOZI YA "KITI MOTO"

tangazo
 Baada  ya  mtandao  huu kutupia  picha  ya  paja la wema  sepetu  na   kuelezea  jinsi  lilivyoharibiwa  na  MIKOROGO, wadau  mbali mbali  wamekuwa  wakitoa  maoni  yao  na  kudai  kuwa  Ngozi  ya  paja  hilo  sasa  haina  tofauti  na  ngozi  ya  kiti moto ( ngurume)

Wema  Sepetu  ni  miongoni  mwa  wasanii  walioathiriwa  sana  na  Mikorogo.Matumizi  ya  madawa  ya  kujichubua  yamemfanya  msanii  huyu   maarufu  nchini aharibike  ikilinganishwa  na  jinsi  alivyokuwa  mwaka  2006 wakati  aliponyakua  taji  la  Miss Tanzania....

Athari  za  madawa  hayo  zilianzia  mapajani  na  sasa  zimekuwa  zikipanda  juu  kuelekea  usoni...

"Nimeshangaa  sana  kuliona  paja  la  Wema.Ivi  ni  kwa  nini  anakubali  kupiga  picha  kama  hiyo  wakati  anajijua  tayari  keshakuwa  kituko.?? Paja  gani  hilo?  Linatofauti  gani  na  ngozi  ya  nguruwe???"...Alifunguka  mdau  mmoja  alipokuwa  akipiga  stori  na  mpekuzi  wetu

UJUMBE:

>>Mkorogo  ni  hatari  kwa  afya  yako. 
>>Uzuri wa mwanamke  si  sura  bali ni tabia
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger