tangazo
Baada ya tuhuma za kuiba wimbo wa H.Baba
na Pasha,Msanii Naseeb Abdul Diamond Platnum, ameingia
tena ndani ya tuhuma nzito baada ya madai kwamba wimbo anaotaka kuuachia wa No.1
ni wa Dayna.
Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote.
Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna. Hii ni demo ya wimbo wa Dayna ambao unafanana kila kitu na wimbo wa Diamond anaotaka kuachia.
Sikiliza demo hiyo hapo chini.
TUPE MAONI YAKO