Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » MASANJA MKANDAMIZAJI AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUSINGIZIWA KUWA ANAUZA BANGI

MASANJA MKANDAMIZAJI AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUSINGIZIWA KUWA ANAUZA BANGI

tangazo

 Jana zilisambaa  habari  kwamba  masanja  mkandamizaji  na  msanii Diamond  wamedakwa  na  polisi  na  possport  zao  za  kusafiria  zimezuiwa....

Taarifa  hizo  zimemfanya  Masanja  afunguke  na  kudai  kwamba  habari  hizo  si  za  kweli, ni  habari  zenye  lengo  la  kumchafulia  jina.


Masanja  ameenda  mbali  zaidi  na  kudai  kwamba yeye  ni  mtumishi  wa  mungu, yeye  ni  mjasiliamali  na  ni  mkulima  pia.

Mali  alizonazo  zinatokana  na  juhudi  zake  za  kazi. TBC wanamlipa  milioni  5  kwa  mwezi.Stoo  ana  magunia  ya  mpunga  zaidi  ya  1000  na  kila  gunia  linauzwa  zaidi  ya  200,000.

MSIKILIZE  HAPO  CHINI.





TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger