Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » MWILI WA ASKARI WETU ALIYEUAWA NA WAASI WA M23 UMEAGWA JANA ZANZIBAR

MWILI WA ASKARI WETU ALIYEUAWA NA WAASI WA M23 UMEAGWA JANA ZANZIBAR

tangazo

Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, aliyefarika Nchini Congo, akiwa katika Jeshi la Kulinda Amani.

 Ndege iliobeba Mwili wa Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar ikitokea Dar-es-Salaam.
 Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakijumuika na Ndugu na Jamaa kuupokea mwili wa marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo.ulipowasili Zanzibar kwa mazishi Kijijin kwao Fujoni kwa mazishi
 Ofisa wa JWTZ akitoa maelezo ya ratiba ya kuupokea Mwili wa Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo katika uwanja wa ndege wa Zanziba leo mchana na kuzikwa katika Kijiji cha Fujoni Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
 Mjane wa Marehemu na Watoto wake wakiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume leo mchana wakitokea Mjini Dar-es- Salaam.
 WANAJESHI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakiwa na mwili wa Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, baada ya kuuteremsha katika ndege maalum ya Jeshi.
 Wanajeshi wa JWTZ wakitembea kwa mwendo wa pole wakiwa na Mwili wa Marehemu Hatibu Shaban Mshindo, baada ya kuwasili Zanzibar, tayari kwa mazishi


 Wananchi wakiwa katika viwanja vya ndege vya Zanzibar wakiupokea mwili wa marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, aliyefariki Nchini Congo akiwa katika Jeshi la Kimataifa la kulinda Amani Nchi Congo.
 Msafara wa Magari ya JWTZ ukiondoka katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kuelekea katika Msikiti wa Bezredi Muembeladu
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger