Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Diamond awapa "makavu" wanafiki wa Wema Sepetu.

Diamond awapa "makavu" wanafiki wa Wema Sepetu.

tangazo
 
"Mwenyez mungu alituagiza kuzika na ndiomaana leo tuko hapa... na sio kwenda sehem uliyokuwa unaforce wewe ili kesho upate picha za kuzusha instagram...! Upo...? Nakwambia, wewe ulokuwa unaandika upuuzi kwenye Comment..."
 
Hayo ni maneno ya Diamond Platnumz kwa wanafiki wa kipenzi chake na rafiki yake Wema Sepetu walihudhuria msiba kwa malengo tofauti na ya kumfariji dada yetu dada aliyepata msiba wa kuondokewa na baba yake mzazi hivi karibuni.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger