Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » "Nisingekuwa mwanamuziki, ningekuwa houseboy"...Dully sykes

"Nisingekuwa mwanamuziki, ningekuwa houseboy"...Dully sykes

tangazo

Msanii wa Bongo Flava na producer/mmiliki wa studio ya 4.12, Dully Sykes amefunguka kwa kusema kama asingekuwa mwanamuziki ana mtayarishaji wa muziki basi leo hii angekuwa Houseboy.

Akizungumza na mwandishi wetu leo, Dully alisema anapenda kazi za upishi kutoka moyoni na kama asingekuwa hafanyi muziki basi angekuwa habanduki jikoni.

“Muziki umefanya watu wakose chakula kitamu,nilikuwa napenda kupika sana na bila kufanya kazi ya muziki na producer basi ningekuwa mpishi,” Dully.

Katika hatua nyingine, Dully amesema hivi karibuni ataachia ngoma yake mpya iitwayo, Kabinti Special.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger