tangazo
Jesca Kikumbi ambaye ni binti wa mwanamziki nguli nchini,King Kikii amejikuta kwenye fedheha kubwa kufuatia picha zake za uchi kufumwa na mumewe aliyetambuliwa kwa jina moja la Akoro...
Jesca na mwanaume huyo walifunga ndoa ya kilokole agosti 1 mwaka 2010 jijini Dar lakini waliweza kuifurahia ndoa yao kwa muda mfupi tu kwani tangu siku hiyo ndoa hiyo imekuwa katika migogoro mikubwa..
Kwa mujibu wa chanzo chetu toka ndani ya familia hiyo,picha hizi zimesababisha mwanamke huyu afukuzwe nyumbani kwa mumewe, Mbea Beach jijini Dar ambapo kwa sasa hajulikani alipo...
Kwa mujibu wa chanzo hicho, mume wa Jesca alizifuma picha hizo kwenye simu ya mkewe zikimuonyesha akiwa uchi wa mnyama na zingine amekumbatia pesa
Chanzo hicho kimeeleza kuwa, picha iliyomkera zaidi mumewe ni ile inayomunyesha mwanaume ambaye ameficha uso kwa bahasha ili asijulikane..

Picha zote zimewekwa hapo chini katika jukwaa la wakubwa, bofya ujionee
Bofya hapo juu ujionee