Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Baada ya Johari kupata dume la kizungu, Lulu Michael naye aanza kumtongoza Justine Bieber....Anadai hajaona mwanaume kama yeye

Baada ya Johari kupata dume la kizungu, Lulu Michael naye aanza kumtongoza Justine Bieber....Anadai hajaona mwanaume kama yeye

tangazo

Zikiwa  zimepita  wiki  kadhaa  tangu  Johari  atimkie Canada  kumfuata  mpenzi  wake, Lulu  Michael  naye  ameanza  kujipendekeza  kwa  msanii  Maarufu  Justine  Bieber   kiasi  cha  kudiriki  kumtongoza  mtandaoni...
Kupitia  ukurasa  wake  wa  twitter, Lulu  Michael  amekuwa  akieleza  jinsi  anavyokosa  usingizi  kwa  sababu  ya dume  hilo,  hali  inayomfanya  akonde  na  kukongoroka.

 
Pamoja  na  maneno  mazuri  ya  kumtongoza  mwanaume  huyo, tweet  za  Lulu  zimeonekana  kutokuwa  na  msaada  wowote  kwake  kutokana  na  ukweli  kuwa  Justine  Bieber  ni  mtu  ambaye  hajui  kiswahili...

Mbali  na  kutoijua  lugha  ya  kiswahili, Bieber  ni  mtu  mwenye  followers  wengi  sana  (  47,180,637   followers ), hivyo  ni  ngumu  sana  kutambua  kwamba  kuna  mtu  anayeitwa  Lulu  Michael.


TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger