Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Diamond anaswa akichezea Matiti ya wanafunzi wa sekondari

Diamond anaswa akichezea Matiti ya wanafunzi wa sekondari

tangazo

Msanii  wa  bongo  fleva, Nasib  Abdul  'Diamond'  amenaswa  live  akichezea  matiti  ya  wanafunzi  wa  shule  mbalimbali  za  jijini  Dar...

Kwa  mujibu  wa  mpekuzi  wetu, tukio  hilo  lilijiri  wiki  iliyopita  kwenye  maduka  ya  Mlimani  City  jijini  Dar  wakati  msanii  huyo  alipokwenda  kufanya  manunuzi  ya  vitu  binafsi....

Ilielezwa  kuwa,Diamond  akiwa  Mlimani   City,wanafunzi  walimvaa  na  kuanza  kuzunguka  naye kila  sehemu  aliyoingia...

Taarifa  zinaarifu  kuwa, wakati  wapambe  wake  walipojaribu  kuwazuia  wanafunzi  hao, Diamond   aliwaambia  wawaache  maana  ni  mashabiki  wake...

Baadae  wanafunzi  hao  waliokuwa  wanatamani  japo  kushika  upindo  wa  mavazi  yake  walimwomba  japo  awasainie   kwenye  sare  zao  za  shule  na  hapo  ndipo  upekuzi  huu  ulipokamilika...

Badala  ya  kuwasainia  sehemu  nyingine  ya  sare  zao,Diamond  alikuwa  akiwashika  vifuani  na  kusaini  sehemu  hiyo  huku  akiwatomasa   matiti  yao...
 
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger