tangazo
Upo single? Una shilingi milioni 43 za kuchezea? Basi mrembo huyu wa Urusi aitwaye Shatuniha, anakupa fursa ya kulimenya ganda lake vyovyote utakavyo kwa mkwanja huo.

Binti huyo amepanga mwanaume atakayefika dau wakutane katika hoteli ya mji wa Krasnoyarsk nchini humo.
Mapendekezo yake kwenye mkutano na waandishi wa habari ndani ya hoteli hiyo ni kwamba yeye anataka kulipwa pesa hizo
kabla ya kulala na mtu na atakuja na nyaraka zote za kuthibitisha ubikira wake...
Mbali na hilo, binti huyo amesema kuwa ataingia hotelini hapo akiwa na mtu ambaye atachukua hela
na kuondoka ili asiingizwe mjini. Mtu huyu ataondoka na hela lakini yeye atabaki.
Polisi nchini Urusi wamesema hawatafanya uchunguzi wa tukio kwa sababu yeye na wanunuzi hawajavunja sheria za nchi.
"Nipo katika harakati za kutafuta fedha ya haraka, hivyo mimi nimeamua
kuweka bikira kwenye soko kwa bei kubwa ili wateja wa ngono waweze
kupata kitu kipya kabisa katika starehe ya kustareheshana," amesema
binti huyo kupitia tovuti hiyo na kuongeza:
"Nipo tayari kukutana na mamlaka zote kama zinataka ufafanuzi zaidi. Nimeamua kuweka biashara hii muhimu kwenye tovuti ili wateja wafanye
tathimini".

Screen shot ya mtandao aliotangaza bidhaa kunadi Ubikira wake.