tangazo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia na daktari wa zamu
wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dkt. Sengondo Mvungi aliyelazwa
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) jana
Oktoba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni
majambazi usiku wa Jumamos Oktoba 2, 2013.(PICHA NA IKULU)