Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » SK Boys watukanwa na mashabiki kwa kutumia vibaya melody na beat ya single ya P Square ‘Personally’ kutengeneza Video ya nusu uchi

SK Boys watukanwa na mashabiki kwa kutumia vibaya melody na beat ya single ya P Square ‘Personally’ kutengeneza Video ya nusu uchi

tangazo
 
Ni video ya wimbo ambao wametumia melody na beat ya single ya P Square ‘Personally’ na kuiweka October 26 2013, watu wengi waliyoiona hasa ukitazama mitandao ya kijamii kama facebook na twitter, maoni mengi yameiponda hii video na wimbo wenyewe ambao waamini umevuka maadili ya Kiafrika na kisanii pia wamevuka mipaka.
 
Sehemu ya waliotoa maoni wanalalamikia udhalilishwaji wa Wanawake na wengine wanalalamikia sehemu ya mashairi pamoja na vingine vinavyoonekana kwenye video.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger