Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Lowassa aongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto Masasi...Milioni 103 zapatikana

Lowassa aongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto Masasi...Milioni 103 zapatikana

tangazo
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza wakati alipokuwa akiongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla ya Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. 
Askofu Msataafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung'u akisalimu waumini.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger