Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Showing posts with label DIVA. Show all posts
Showing posts with label DIVA. Show all posts

DIVA WA CLOUDS FM AJIPIGA TATOO YA KICHINA KIUNONI...


Katika  kile  kinachotafsriwa  kuwa  ni  harakati  za  kulimwagilia  maji  na  marashi  penzi  lake  kwa  prezzo, Diva  wa  clouds fm  sasa  ameamua  kujipiga TATOO YA  KICHINA  kiunoni  ili  kumchanganya  mwanakaka  wa  Kenya  anayegombaniwa  na  warembo  kibao...

Diva amejikuta  katika  ugomvi  mkubwa  na  warembo  wa  Kenya  ambao  wanadai  kunyang'anywa   mpenzi  wao.Miongoni  mwa warembo hao  ni Hudahh  aliyekuwa  mshiriki  wa  Big Brother mwaka huu  akiiwakilisha  Kenya...

Kabla  ya  kujipiga  tatoo ya  kichina  kiunoni, Diva  aliwahi  kujianika  akiwa  nusu  uchi  huku  shanga  zake  zikiwa  hadharani.
 Uamuzi  huo  aliufanya  ili  kulipiza  kisasi  kwa  mke  mwenza Huddah  ambaye  naye  alijianika  mtupu  na  kumtaka  Diva afanye  hivyo  pia  kama  ana mapenzi  ya  dhati  kwa  Prezzo


TUPE MAONI YAKO

"PREZZO ANAYAJUA MAPENZI.....HATA AKINIUTHI SITAHESABU MAKOSA YAKE"....DIVA WA CLOUDS FM


Muda mfupi uliopita mtangazaji wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM Diva Loveness Love ambaye sasa anatumia “divathebawse” katika akaunti yake ya Instagram, ameweka picha mpya akiwa na Rapcellency Jackson makini aka Prezzo kutoka Kenya waliyopiga jana (July 7).


Picha hiyo ambayo inawaonesha wawili hao wakiwa “0 distance” ilikuwa na caption inayosomeka hivi,

“Nothing Than Happiness… Prez is such a Nice guy. Hata Akiniudhi Sihesabu makosa yake. May you Live Long Pleaseeee……… Good hearted, My hero, My Mentor… A Person I can count to when I need to be happy… No one is Perfect yes but I love his flaws and All…. Bless you always’ . I Pray you live Long… I Pray for you Always”


Picha nyingine iliwaonesha Prezzo na Diva wakikumbatiana na kusindikizwa na caption “Last Night at escape1… I was nothing than happy. With Prezzo”.




Prezzo alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza jana (July 7) katika show ya Matumaini iliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Bong5
TUPE MAONI YAKO

DIVA WA CLOUDS FM AMVAA TENA HUDDAH....KISA NI PENZI LA PREZZO


Kama utakua ni muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea kati ya mshiriki wa BBA kutoka Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva Loveness love.
kiufupi ni bif kupitia twitter kisa kikiwa ni CMB Prezzo

Katika interview iliyofanywa  na Huddah, mrembo huyo wa Kenya  amesema hana uhusiano na Prezzo, ni rafiki yake tu, na hana beef yoyote na Diva na kwanza hamfaham.

"you know mimi hupenda kutoa maoni yangu, so saa ile mi natoa maoni yangu mtu ana-judge vingine, mi sina bif na Diva, na simjui, na kama uli-notice i only replied three times."

unajua mi niliandika "lol" after seeing her tweet calling Prezzo "baby", why? i just find it funny, so yeye ndio akawa anaandika all that" amesema Huddah

kwa inavyoonekana Diva alikua akisikiliza radio wakati interview ikiendelea, na haikumchukua dakika nyingi , akaibuka  katika  mtandao wa twitter:

TUPE MAONI YAKO

"SIWEZI KUMWACHA PREZZO HATA AWE MALAYA KIASI GANI....MUNGU ALIMZAA KWA AJILI YANGU"...DIVA WA CLOUDS FM

DIVA  AKIWA  NA  MKE  MWENZA...
Jana Diva wa Clouds fm amevunja ukimya na  kufunguka  tena  kuhusu  penzi  lake  kwa  Mkenya  a.k.a  Prezzo...
Diva  ndani  ya  pozi  la  nusu  uchi...

HII  NI  KAULI  YAKE: 
“Okay now that some bloggers blog about me and Prezzo and Prezzo kuwa womanizer …Prezzo this and that ..blah blah blah OGAWD.

Guys Prezzo is the President……….he is grown man and labda hamumjui au hamjawahi kaa nae au kuzungumza nae but trust me he is such a sweetheart....

He is a very good guy and he is one of the best. am lucky maybe ….. but am close to him and we talk a lot A LOT kila wakati and God created him for a Very special Purpose. and …………. whatever ts btn me and him ts btn me and him ….and we are good. very very good.


Okie… Part of me supporting Huddah
Okay ….. I Supported huddah because she is one of us and kama mnavyoona all that hate for her online …..like come on now, she deserve better and that one guys i admit…


Acheni kukuza na kuzusha vitu ambavyo hata havipo au hata kama vipo hamna hata uhakika navyo , u guys fronting over what a Picture??? lol….WHATEVER Mayne am good lol.
 
PART OF ME HATING PREZZO.
I will never hate Prezzo, never ever ….will never hate Prezzo no matter what, he is my hero and my confident and he makes me happy i admit, he makes me laugh yaani , kabisa yaani hamjui tu

He makes me smile and thats the weakness in me and if he is dating Huddah or Victoria Kimani Or sijui nani nini nini …. i wish him all the best, he has my blessings,if he is dating whoever anaetaka m date he has my blessings coz jamani hamjui tu ....

He is just THE MAN Tena African asa maneno ya nini???lmaoo………. okie back ON The PREZ….WELL….he is a great father and a great man ambae any woman ata wish kuwa nae, once u get to know him you will never hate Prezzo and THAT is one thing for sure.so noisy maker With all the BS…LMAOO 

And some of My friends and etc ambao think i dont care about Prezzo coz of the way nilivyo na kutoonyesha kujali about him as siko sad wala nini ..okie straight face now buddies …………..okie, the truth is i do Care about him and i want him to be happy…

If he is happy am happy Mengine Tumuachie BABA NA MAMA but We are good and very close than u guys cud ever imagine. he is such a phenomenal man and nothing can change that i guarantee that to you.

Whatever was btn us….we never kissed, we never went any far tulikuwa more of a lovey Dovey than more than sex buddies….so nuff with the assumptions……..ermmm sijatoswa na any in my life sijawahi so next tme get your facts right b4 blogging shit and part ya kumtosa na kumpiga kibuti mtu online sijawahi thats all a lie … 

I know bloggers mnalipwa kwa ile kuwa na viewers wengi but come on now …basi u can atleast do it in a very Professional way…………..sio uzushi na tittle kubwa na mibichwa yenu hio..  


Mxiuuuuuu…..you end up looking like a psycho lol……for what?? sponsors au ? thats cheap lmaoo…get well soon.
TUPE MAONI YAKO

DIVA WA CLOUDS FM NAYE ATOA PICHA YA NUSU UCHI ILI KUMTEKA PREZZO ANAYEONEKANA KUHAMISHIA PENZI KWA HUDDAH


Baada ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo mitandaoni, Diva  wa  clouds  fm ameamua kuweka picha yake ya NUSU UCHI   ili kupotezea  Aibu  hiyo..

"Love at the first sight  imekwishaimekwisha."....
Ulimpiga  KIBUTI   mbunge  mh. JEPESI , tena   kwa  mbwembwe, vijembe  na  kejeli  kibao  mtandaoni......

Leo  hii  jamii  inashuhudia  unavyoumbuka.Penzi  la  Huddah  na  Prezzo  lilikuwa  wazi  na  la  vitendo.....

Siku  moja  kabla  ya  kutolewa  katika  jumba  la  big brother, Huudah  aliweka  wazi  juu  ya  uhusiano  wake  na  Prezzo  huku akielezea  jinsi  alivyo  miss  kushikwa  shikwa...!!
Prezzo  na  mpenzi  wake....


Nani  alikurupuka  kati  yake  na  wewe???
Si  mbaya  sana, ENDELEA  KUWEKA  PICHA  ZA  UCHI, PENGINE  ATAHAMISHIA  PENZI  KWAKO

TUPE MAONI YAKO

DIVA WA CLOUDS FM AMPA SUPPORT "MKE MWENZA WA KENYA " ANAYEIWAKILISHA NCHI HIYO KWENYE BIG BROTHER AFRICA

Juzi (May 26) ndio ulifanyika ufunguzi rasmi wa shindano kubwa Africa la Big Brother ambalo mwaka huu limepewa jina la “The Chase”, na tayari washiriki wa nchi zote ikiwemo Tanzania wamekwisha fahamika.
Huddah Monroe a.k.a The boss lady ambaye ni model mwaka huu ndio amebeba imani za wakenya za kurudi na kitita cha $300,000 zinazoshindaniwa katika msimu wa 8 wa shindano la Big Brother “The Chase” baada ya kuchaguliwa kuiwakilisha nchi hiyo ya jirani. 
 
Siku chache zilizopita jina la Huddah limeonekana kupata umaarufu zaidi Tanzania hasa kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, baada ya binti huyo mwenye historia ya matukio mengi ya utata huko Kenya (pamoja na kujihusisha na upigaji wa picha za utupu) kujikuta anaingia katika ugomvi wa maneno na mtangazaji maarufu hapa Tanzania Loveness Love a.k.a Diva kutokana na kinachoaminika kuwa sababu ni Prezzo. 
 
Diva a.k.a mimi Kupitia akaunti yake ya twitter, juzi (May 26) aliandika tweet inayoonesha kuweka kando tofauti alizokuwa nazo na Huddah na kuahidi kumsupport kwa kutokumwandikia “shit” kama njia ya kumuunga mkono “wifi” katika BBA.

Diva amekuwa akidai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapper kutoka Kenya CMB Prezzo, kitendo kilichopokelewa tofauti na mrembo Huddah ambaye pia kulikuwa na tetesi aliwahi kudate na “Liq Her” hit maker, Rapcellency, Prezzo.
TUPE MAONI YAKO

"IVI WEWE ZITTO KABWE UNADHANI UNASTAHILI KWELI KUWA RAIS ?"....LOVENESS DIVA


Baada  ya  kutangaza  kumpiga  chini  Mh.Zitto Kabwe, Loveness  Diva  ameamua  kumchokonoa  tena  kwa  kumkejeli  kuhusu  uamuzi  wake  wa kugombea Urais.....

Huu  ni ujumbe wake aliouweka instagram: 

 ".Ivi  kwa akili yako unadhani  unastahili  kweli  kuwa Rais mteule wa taifa  hili....??

"Usiponijibu nikaridhika, basi  ntakuchukulia  kama  mtu mwenye upeo finyu asiyejua alitendalo.."



TUPE MAONI YAKO

ZITTO KABWE APIGWA KIBUTI LIVE MTANDAONI NA DEMU WAKE ( LOVENESS DIVA)

Waswahili  husema  ..."Mapenzi  ni UCHIZI"... 
Hili  ndo  tunalolishuhudia  kwa  Mh Zitto  na Manzi  wake MAPEPE ( Loveness Diva )  ambaye  ameamua  kumtema  na  kupeleka  penzi  lake  kwa Prezzo wa Kenya....

Kwanza  ulianza  ujumbe  wa  kumpongeza  Prezzo  na  ahadi  ya  kumtema  RAIS WETU MTARAJIWA....

 Baaye  kikafuata  KIBUTI  kwa  mh. Mbunge.

TUPE MAONI YAKO

''DIVA'' AJUTA KUGAWA PENZI KWA MO RACKA



Diva alhamisi iliyopita  alifunguka kuhusu kosa kubwa alilolifanya katika maisha yake tangu azaliwe. Na alichosema kajuta ni kua na uhusiano wa kimapenzi na  msanii Mo Racka. Hiki ndicho alichokiandika Twitter jana usiku






TUPE MAONI YAKO

LOVENESS DIVA AAMUA KUKINADI KIUNO CHAKE....


 Diva  ameamua  kukiachia  kiuno  chake  huku  akikitolea  kila aina ya sifa.....Eti anadi  kwamba  uno lake ni zuri, lina mafuta, analipenda.......Hii  ni  sehemu ya ujumbe wake.:


"Hey guys.
so this is how i look now and am loving it… alot of Protein and i eat only once and slimming tea is no longer my bff coz nshatoa nilichotaka but am doing the Stallion Booty Video alot. i workout alot. .....


Baada ya ujumbe huo, Diva aliamua  kuwapiga dongo akina dada:  ladies go get that body pliz…. 



TUPE MAONI YAKO
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger