Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Mwili wa mwanamamke wakutwa kichakani ukiwa umekatwa kichwa na kufungwa kamba.

Mwili wa mwanamamke wakutwa kichakani ukiwa umekatwa kichwa na kufungwa kamba.

tangazo

Wanakijiji wa kijiji cha Nyamira  wameamka na kukuta mwili wa mwanamke ukiwa umekatwa kichwa na kutelekezwa pamoja na kufungwa mikono kwa kamba...
 
Mwili huo  ambao unaonyesha kuwa ni wa  mwanamke mwenye miaka kati ya 25 hadi 35 amekutwa umevaa  jeans pamoja na blouse nyeusi na kutupwa pembeni ya kijito cha maji mida ya saa 12 na nusu asubuhi.

Wanakijiji hao wamedai kushtushwa na  tukio hilo na kusema kwamba ni kitu cha ajabu kwenye kijiji chao na polisi wa Kenya wametangaza familia yoyote itakayoona kuna mtu amepotea nyumbani kwao atoe taarifa mapema.

Hii ni video ya  ripoti kamili ya NTV ya Kenya
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger