Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Bad News: Mzee Nelson Mandela amefariki dunia

Bad News: Mzee Nelson Mandela amefariki dunia

tangazo

Taarifa ya kifo cha Mzee Nelson Mandela imetangazwa na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma saa saba kasoro usiku wa kuamkia Dec 6 2013 ambapo amefariki akiwa na miaka 95.
 
Taarifa ya CNN imesema Madaktari wa Mzee huyu ambao walikua wakipokezana kukaa nae kwa saa 24, wamesema Mzee Mandela kwenye kipindi hiki cha mwisho dawa zilimzoea mpaka zikashindwa kufanya kazi, yani mwili wake ulikua tayari umezoea dawa na hata ziwe kali vipi hazikuweza kufanya kazi kikamilifu.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger