Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » NEWS....... KIGOGO WA CCM AUAWA JIJINI MWANZA...

NEWS....... KIGOGO WA CCM AUAWA JIJINI MWANZA...

tangazo
 
                           Clement Mabina enzi za uhai wake.
Taarifa zilizotufikia ni kwamba, Mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa mchana huu Kisesa, Mwanza baada ya kumpiga risasi raia mmoja na yeye kuuawa katika ugomvi wa mashamba!
 
Chanzo; Global Publishers
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger