LADY JAYDEE NA MUME WAKE WAENDELEA VYEMA NA SAFARI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO....
tangazo
Jana Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner G Habash walianza safari yao ya kuupanda mlima Kilimanjaro kwa kupitia njia ya Marangu.Safari hiyo ya siku sita inaongozwa na kampuni ‘Kilidove Tours and Safaris Ltd’ ya Arusha.Wengine wanaoongozana nao ni mpiga picha wake Justin Bayo.
Picha ya pamoja
Lady Jaydee akisalimiana na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya KINAPA Erastus Lufungilo kabla ya kuanza safari.
Lady akiwa kweye ofisi ya Mhifadhi mkuu wa KINAPA
Wakijiandaa na safari
Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner
Jide na mpiga picha wake
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK