WAPEWA KICHAPO CHA MBWA BAADA YA KUNASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA.....
tangazo
wananchi wakiwazonga na kuwapa kichapo
Nitukio la kusikitisha sana..kama unavyoona ni mwanaume mwenye mke na watoto akiwa amefumwa akivunja amri ya sita na mwanamke mwenye familia na watoto....
WAZINZI WAKIPELEKWA POLISI.....
Wananchi wenye hasira kali walipa kichapo kikali ili liwe fundisho kwa wengine hapo mtaani.....
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK