Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » WEASEL AMTAKA CHAMELEONE AACHE UKATILI WAKE WA KIPAGANI....

WEASEL AMTAKA CHAMELEONE AACHE UKATILI WAKE WA KIPAGANI....

tangazo


Mdogo wake Jose Chameleone, Weasel wa kundi la Good Lyfe amemdiss kaka yake huyo na kumtaka aache ukatili wake anaouita ni wa kipagan.


Chameleone yupo kwenye hatihati ya kukabiliwa na kesi ya mauaji baada ya ndugu za mtu aliyejichoma moto nyumbani kwake na kupoteza maisha kutaka uchunguzi zaidi wa tukio hilo ili kubaini kama msanii huyo na familia yake walihusika.
Kupitia ukurasa wao wa pamoja wa Radio and Weasel wa Facebook, Weasel aliandika:

People, advice war monger Dr Jose Chameleone to act his age, and low his pagan violent ways. When the media fails to address the truth to public figures, and instead hail and praise dem, they will never learn to respect the community that they live in. 

This skeleton is a big threat to peace. I support Mozey Radio’s campaign against Chameleone’s violence. For God and my fight for peace.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger