"Mbowe ni Mjinga na Mpuuzi"...Hii ni kauli ya Kigwangalla bungeni
tangazo
Mbunge
wa Nzega Dr. Kigwangalla, ametumia muda wake karibu wote wa kuchangia
Muswada wa Katiba kwa kumshambulia Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Mbowe kuwa ni
Mjinga, Mpuuzi, ametia aibu aibu
Kigwangalla amempongeza Naibu Spika kwa kumtimua Mbowe bungeni na kusema kuwa kitendo hicho kimemshikisha adabu...
Aidha, mbunge huyo wa Nzega amedai kuwa Mbowe sio Mchaga bali ni mhuni fulani aliyejivika sura ya Uchaga kwa masilahi yake binafsi !.
Kigwangalla alihitimisha mchango wake kwa kudai kuwa wapinzani wana akili za shetani zisizovumilika!
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK