Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » HUYU NDO MCHUMBA WA LINEX ALIVISHWA PETE YA UCHUMBA

HUYU NDO MCHUMBA WA LINEX ALIVISHWA PETE YA UCHUMBA

tangazo

Mwanamuziki wa kizazi kipya anaetamba na ngoma yake mpya ya MAHAKAMA YA MAPENZI, Linex amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake.


Linex ambae pia anatamba na ngoma zake kama Moyo Wa Subira, Mama Halima, Ngekewa, Aifola na nyingine nyingi amemvalisha pete wakiwa waili tu mchumba wake huyo mweye asili ya Finland anaefahamika kwa jina la Suvi.


Linex amechukua uamuzi wa kufanya kitendo hicho kwa siri kwa sababu ameona haikuwahusu watu wengi wajue maana ni kitu ambacho kinawahusu wao wawili tu.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger