tangazo
Mikanda ya ngono ya mama mtoto mtarajiwa wa Kanye West, Kim Kardashian, inayojulikana sana kwa jinsi ilivyotangazwa kwa jina la ‘Kim K Superstar’ imenusurika kuteketea kwa moto huko Los Angeles baada ya moto mkubwa kuzuka katika makao makuu ya kampuni inayozalisha mikanda hiyo ‘ Vivid Entertainment’.
Ripoti
zilizotelewa na TMZ zinasema master version na mikanda mingine ya watu
maarufu ilinusurika pia na ilikuwa imetunzwa kwenye ofisi ya kiongozi wa
Kampuni hiyo Steve Hirsch, Wakati moto huo unawaka kiongozi huyo
alikuwa mbali. Hirsch alipigiwa simu ya dharura na kukimbia haraka eneo
la tukio.