Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » PICHA ZA WEMA SEPETU AKING'OA MENO BAADA YA KUENDEKEZ PIPI NA CHOCOLATE

PICHA ZA WEMA SEPETU AKING'OA MENO BAADA YA KUENDEKEZ PIPI NA CHOCOLATE

tangazo

 CEO wa Endless Fame Films Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake.
eb53b55080ba11e2bd6422000a9f12df_7
Kupitia Instagram, Miss Tanzania huyo wa zamani, ameshare picha akiwa kwenye clinic ya meno kung’oa jino lililokuwa likimsumbua. “Apparently I have 8 cavities…. oh god… does this mean no more chocolate for me,” ameandika. Kwa waliowahi kuumwa na jino wanaujua muziki wake, so get well soon Wema.
0c996cf080bb11e2a3d822000a1f9be5_7
4bf607be80bb11e29bea22000a1f90d2_7
501d99e680bc11e28eb922000a1fbc88_7

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger