tangazo
Bwana abdulkareem mwenye umri wa miaka 36 amehukumiwa kifungo cha miezi miwili jela baada ya kupatikana na kosa la kuyachezea matiti ya Julliet pasipo kibali chake......
Msemaji wa polisi aliieleza mahakama ya Karu nchini Kenya kuwa, siku ya tarehe 19 mwezi huu wa tatu majira ya saa tatu asubuhi, Jully alikuwa bafuni anaoga .Wakati akitoka bafuni, bwana abdul ambaye ni mpangaji mwenzie alimvamia na kuanza kumchezea matiti yake bila kibali.....
Baada ya shitaka hilo, Hakimu wa mahakama hiyo alimtaka bwana Abdul ajitetee.....
Mtuhumiwa alikiri kutenda kosa hilo na kuiomba mahakama imsamehe kwa kuwa aliteleza na halikuwa kusudi lake.....
Baada ya utetezi huo, hakimu aliamuru Abdul afungwe miezi miwili ili liwe fundisho