Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » NICKI MINAJ AUMBUKA TENA BAADA YA MATITI YAKE KUJIANIKA HADHANI WAKATI AKIREKODI VIDEO YAKE MPYA

NICKI MINAJ AUMBUKA TENA BAADA YA MATITI YAKE KUJIANIKA HADHANI WAKATI AKIREKODI VIDEO YAKE MPYA

tangazo


Nicki Minaj amekumbwa balaa jingine  baada  ya  matiti  yake  kuchomoka  nje wakati akirekodi video yake  mpya....

Maana halisi ya kuwa uchi  kwa mzungu  ni KUYAANIKA  MATITI  au  KUKAA  BILA  CHUPI....

Kwa tafsri  hiyo, mrembo huyo  amechafuka  tena  baada  ya  mwaka  jana  kukumbwa  na  balaa  kama  hilo......
Wachambuzi wa mambo  wanadi  kuwa Nicki Minaj alifanya  makusudi  ili  ainadi  video yake  mpya
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger