tangazo
Dereva Tax aitwaye Mido Macia, 27
raia wa Msumbiji alifariki Dunia huko Afrika Kusini baada ya kutendewa
unyama na polisi kwa kufungwa nyuma ya gari na kuburutwa hadi kufa. Hii
ni baada ya kijana huyo kuegesha gari yake sehemu isiyo ruhusiwa.
Baadae alifariki baada ya kupata ya kichwa na kutokwa damu nyingi akiwa mahabusu.
Tukio hili lilitokea mchana mbele ya watu waliokua wakishangaa na wengine kurekodi.
Baadae alifariki baada ya kupata ya kichwa na kutokwa damu nyingi akiwa mahabusu.
Tukio hili lilitokea mchana mbele ya watu waliokua wakishangaa na wengine kurekodi.