tangazo
Maendeleo ya kiwanda cha filamu kwa Tanzania ni kama yanatumia nguvu ya ziada kuamsha hisia za watu kupenda filamu hizo hususani kwa vijana baada tu ya kuonekana kwa kava ya filamu ya Girls in the mood kama uionavyo hapo juu.
Hayo yalizungumzwa na baadhi ya watu waliokuwa wakichangia mada mbalimbali kuhusiana na filamu hiyo hasa muonekano wake wa mbele wa kava ambalo linawaonesha wakinadada kwenye hali ya usiri zaidi hivyo kuchochea hali ya ngono kwa vijana.!!
kizobrax