Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » HUYU NDIYE YULE MBUNGE ALIYENASWA AKIZINI NA WANAWAKE WAWILI KWA PAMOJA

HUYU NDIYE YULE MBUNGE ALIYENASWA AKIZINI NA WANAWAKE WAWILI KWA PAMOJA

tangazo



Huyu ndo ndo Bwana Mkubwa Willie Knuckles aliyekuwa waziri wa mambo ya rais(Minister of Presidential Affairs) huko Liberia ambaye alilazimika kujiuzulu baada ya picha zake zilizokuwa zikimwonyesha akifanya tendo la ngono na wanawake wawili kusambazwa kwenye mtandao.

Kwakweli bado haijaeleweka hasa walioamua kumsambaza mtandaoni walikuwa na lengo gani naye...
 
Ilikuwa ni aibu kubwa sana kwake na kwa familia yake,serikali ambayo yeye alikuwa ni mhimili wake na hata wananchi wote wa Liberia (picha hii nimekata "croping" makusudi kulinda maadili ya mtanzania,lakini shughuli iliyokuwa inafanyika nafikiri inaonekana).
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger