tangazo
Producer na mwanzilishi wa MJ Records, aliyechangia kwa kiasi kikubwa kukuza vipaji na kuinua muziki wa kizazi kipya"Bongo fleva" hapa tunamzungumzia Master Jay amejipanga tena upya kurudi katika game safari hii akiwa more powerfull than the last time.
This time Master anakwenda moja kwa moja kuungana na Producer Marcho chali aliyekuwa ameachiwa Studio hiyo kwa kipindi chote ambacho Master alikuwa nnje ya game.
Tunakupongeza kwa uwamuzi wako wa kurudi tena katika game hii na tunakutakia kila mafanikio mema