"AWAMU HII NITAWAPANGA WANAUME KAMA MAGUNIA....MBONA HATA WAO HUTUCHEZEA"....BABY MADAHA
tangazo
STAA
wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema
mwaka huu atawachanganya wanaume kama afanyavyo Nasibu Abdul ‘Diamond’
ili kwenda sawa.
Akifafanua
kauli yake kwa mwandishi wetu, Baby Madaha aliweka bayana kuwa
haoni tatizo kunaswa na Mwisho Mwampamba kama ilivyoripotiwa hivi
karibuni wakati huohuo anatoka kisela na mkali wa Bongo Fleva, Juma
Kassim ‘Nature’.
“Watakoma mwaka huu, lazima niwachanganye sana, mbona wao wanatuchanganya sana kama Diamond vile anavyofanya!” alisema Baby.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK