tangazo

Baada
ya habari nyingi kuhusu Irene Uwoya kufumaniwa na Diamond kutawala
vyombo vya habari mitandao hapo juzi, bongomovies iliamua kumtafuta
kwa simu Irene Uwoya ili kuweza kupata majibu ya tuhuma
za yeye kuingilia penzi lwa mwanadada Penny....
Bongomovie
inadai kuwa ,jana tangu asubuhi ilikuwa ikimtafuta Irene Uwoya
hewani bila mafanikio kwa kuwa simu yake ilikuwa ikiita bila
kupokelewa....
Saa kumi na mbili hivi jioni, bongomovie hatimaye ilifanikiwa kumpata Uwoya hewani na kumtwisha zigo hilo la lawama na maswali kibao kuhusu kufumaniwa na Diamond.....
Bongomovie inadai kuwa, Uwoya alishindwa kujibu tuhuma hizo na kutoa jibu moja na fupi la mkatona .."ACHANA NAZO, HAZIWAHUSU"
Kundi zima la bongo movie likaona isiwe tabu ....likaamua kumwacha binti huyo .Hata hivyo kwa mtu yeyote mwenye umakini wa kufikiri atakuwa amekwisha elewa Uwoya alimaanisha nini...!!